Welcome to Naomi Erastus Andrew 1974 MARRIAGE Counselling
Niko nchini Uingereza jiji la London.
Huduma hii ya Counselling kwa kuwa niko mbali njia pekee nina tumia WhatsApp kuwasiliana na Wanandoa wanaohitaji ushauri. Lazima nisikilize pande zote mbili Mume na Mke ili kuweza kutoa ushauri wa haki na wenye kuimarisha ndoa husika .
USHAURI UMEZINGATIA MISINGI YA NENO LA MUNGU TU SIO NJE YA HAPO .

Safe Space....And JESUS AID, “Neither do I condemn you; go, and from now on sin no more.” ]
YESU KRISTO hakuja KUHUKUMU ,hivyo hata mimi sita hukumu lo lote maana sio kazi yangu kuhumumu ,
Hukumu ni kazi ya MUNGU tu , nitakachofanya ni kushauri nikisimamia misingi ya Neno la MUNGU

MSHAURI NI AINA TOFAUTI SANA MAANA YAMEBEBA UPENDO WA YESU KRISTO. NA SIO YA KUVUNJA NDOA BALI KUIMARISHA NDOA
Our counselling sessions incorporate unique techniques to help you achieve personal growth and well-being.

Expert Guidance
Our experienced counsellors provide expert guidance to help you navigate life's challenges.
Ready to Take the First Step?JE HUKO TAYARI KUCHUKUA ATU YA KUFUATA USHAURI WA NDOA KUNA FOMU YA JAZA TAFADHALI UKIMALIZA KUJAZA click submit
STAY BLESSED IN JESUS CHRIST NAME
UBARIKIWE SANA
Book an appointment today and start your journey towards personal growth and well-being.
Book hiyo appointment ili uanze safari ya kuimalishwa kiroho katika mahusiano yako ya ndoa